Sintaksia Rahisi 😎Sintaksia ya Nuru ni rahisi kujifunza kwa wenye uzoefu na wasio na uzoefu na kutengeneza programu.
Maneno Rahisi 🎹Andika programu kana kwamba unaandika barua na maneno rahisi kama andika() kuchapisha kitu na jaza() kupata maingizo kutoka kwa watumiaji.
Inaendeshwa na Jumuiya 👥Nuru inaendeshwa na jamii na sauti yako ni muhimu. Tunahakikisha kushauriana na jamii kabla ya kufanya uamuzi. Njoo ujiunge nasi Telegram